Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Kwa kweli mimi kama mtanganyika, nakubali Zanzibar ijitoe kwenye huu upuuzi wa muungano, ili ije kuwa East Africa biggest free market zone, na kutusaidia sisi njaa kali tusiokuwa na uwezo wa kwenda china au dubai tuwe tunanunua mzigo kutoka Zanzibar kwa gharama nafuu...
 
Hapo ndiyo unajua Karume was genius, Nyerere was a genius. La muhimu ni Muungano, udugu wenu na maslahi yenu ya msingi.

Umetoa mfano JKT, sawa,
mnamaliza kuruta 70,000 wakiwamo Wazenj 17. Hivi kweli unataka watu elfu 70 mkagombee nafasi 7 kulinda Mjimkongwe? On the other hand? Wazenj 7 ukiwapeleka Mbweni wala hawamzibii mtu yeyote ajira. Kwa nini mpiganie "usawa" usio na tija?

Kuna swali la Ardhi. Mkoa wa Lindi, mzuri, green, kinganisha na Pemba ya square kilometre 1500 yaani 30 kwa 50 kms, tayari pamejaa, watu laki 4!.

Mkoa wa Lindi watu milioni 3, pori, square kilometre 20,000 (km 200x100). Waje Wapemba 70 porini Mkuranga? No problem (as long as siyo UAMSHO terrorists). Watalima mahindi, ndizi na machungwa bila shida, wala hatutawaona. On the hand peleka Wachagga au Wamatumbi Wachagga laki 5 Pemba watakaa wapi? Kama wenyeji ni.laki 4 tu, mtaoa wapi?

Mfano wa Wachagga na Wamatumbi ni huo huo, Wamatimbinhawawezi kwenda Kirua Vunjo kumejaa. As long as ni Nji moja, kwa nini tupiganie usawa wa bandia usio na tija?

Of course mambo ya msingi yapo, mtafuata sheria, km currency, sera za diaspora, uhuru wa dini, ulinzi, nk. Kama
ingekuwa Muungano na Kenya hapo ingebidi muwe sawa bin sawa.

Muungano wetu ni wa kikwelikweli, Rais akitoka huku Makamo atoke kule, tuliyaona kwa Mwinyi, tumeyaona kwa Samia. Nyerere na Karume waliona mbali sana, Mungu awabariki.
 
Huyo Mwenyekiti wako ni mwafrika?
Muarabu ni Mullatoes! aliye ukataa uafrica! na ulaya baba zake hawamtaki!! yaani nakataa huku na kule anako taka hawamtaki!!
 
Acha ujinga!!! Mapato yanayopatikana kutokana na utalii ni yale yenye kiingilio. Haya znz mna kiingilo gani kinacholipwa kwenye mbuga za wanyama hadi useme taifa linawategemea. Znz wanaofaidi ni wa kwenye mahoteli na hakuna hoteli ya serikali pale: kodi inayolipwa ni inaenda kama kwenye biashara zingine. Unaposema utalii elezea hiyo revenue inatengenezwa vipi!!! Mtalii akija Tanganyika akipanda mt kilimanjaro unajua analipa sh ngapi? Akienda mbuga za wanyama unajua analipa sh ngapi? Kabla hamjajipa umuhimu jaribu kuchakata kwanza taarifa
Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
 
Wazanzibari wanajiona waarabu. wanatamani leo kesho muungano uvunjwe wawalete waoman kama majinga yaani. Libya wanalia nini saizi na hamjifunzi tu! Yani mwarabu akiishika znz sisi huku bara tumeisha.! Na yale yalivyo kama manyumbu yanapelekwa pelekwa tu. Hatuna jeshi la kuanza kuwatetea na vita za majini saizi. Mngekua umbali mrefu kutoka tanganyika wala tusingehangaikia huo umoja. Hatujaunganana na nyinyi kwasababu tunawapenda. Tumewashika ili mwarabu asije karibu na sisi. Ndo yale yale ya urusi. Kwanza tangu lini mzanzibari
Akawa na na akili. Tulieni hapo
Msituletee wezi wa kiarabu
 
Siku Zanzibar na Tanganyika zitakapotengana nitakuwa mtu mwenye furaha zaidi duniani
Ipo siku tutatengana na hiki kijiji cha maghofu yaliyopakwa chokaa. Amina
 
Kaskazini nakukatalia, labda kama wewe teja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…