Tuwe wakweli man u inatisha sana

Tuwe wakweli man u inatisha sana

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
397
Reaction score
81
Mtakubaliana na mimi mashabiki wote wa mpira haijalishi wewe ni wa timu gani.Man ni kiboko,ukiangalia jinsi TOTENHAM walivyokuwa wana posses mpira hasa kipindi cha kwanza, halafu Man wakatumia uzoefu wao kushinda gemu.Hakika wanastahili pongezi kubwa sana vijana wa oldtraford. Nina imani kubwa sana na ferguson ataendelea kuleta raha kwa mashabiki wote wa MANCHESTER.
 
Bingwa naona atapatikana kwenye mechi ya mancity na manu. Hakika mtamtambua ferguson
 
Tottenham haijafunga Manchester United toka mwaka 2001. Manchester United haijafungwa na Tottenhan katika uwanja wa Old Traford toka mwaka 1989. Kumbuka rekodi hii siyo ya rigi kuu peke yake ila ni ya mashindano yote.
 
Chenga walipiga lkn haikusaidia kichapo cha 3 kukikwepa, shukrani za dhat kwa jones,rooney na young! Man u itavuta ubingwa kama mwendo ndo huu..!
 
Man utd ni best team in epl,i'm not u fan bt i'm impressed with their perfomance!
 
Man United has what it takes to get +ve results out of seeming difficult matches and that is what soccer is all about delivering when it matters the most.Glory..glory..Manchester United.
 
Nakumbuka jn commentator alisema "and that's why they are the champions"
 
Unasahau kwamba kuna Man C amekaaa pale juu zaidi ya nusu mwaka sasa.
 
Back
Top Bottom