Tuwe wakweli! Mchina alishawahi kutoa msaada gani kwa nchi za kiafrica zaidi ya kutuuzia vitu vyenye ubora feki!

una uthibitisho wa unayoyazungumza?
 
Pumbavu wewe.
Unapewa peremende unatumwa kucheza mabeberu wanakula tunda kimasihara/rasilimali hadi umezoea ndio maana kila njemba inayokatiza mbele ya mama yako unataka upewe tena peremende ukacheze kumbe hujui peremende unazopewa mamaako anazilipia 😫

Mnatia hasira sana nyinyi ombaomba
 
Bila China ukapuku na ufukara ungekuwa wa ajabu.
Vitiu vingi vimepatikana kutokana na uwepo wa China, vifaa ya ujenzi. Machine, mawasiliano ,software nk. Sasa hivi wazungu wakiweka vikwanzo kuna mbadala wa China.
Tukumbuke miaka ya 2000 kurudi nyuma, aisee ni aibu kubwa. Rejeeni picha za mwaka 90, wakati huo wazungu wanateknolojia mda mrefu.
Ikitokea mchina akate bidhaa zake Afrika inarudi miaka ya 2000. Simu za kitochi, internet hakuna.
Bidhaa tunazopata kutoka china zinazidi thamani msaada wa mzungu.
Mchina ni baraka ya MUNGU mzungu ni Baraka ya Shetani.
 
Jina lako lenyewe LA kichina.
 
Hivi umesoma na kuelewa kweli nilichoandika au kukurupuka kama mwehu

Kukusaidia kuondoa ujinga wako Chinaaid anza na TAZARA

Halafu acha kuwa mpumbavu kupenda misaada kama mlemavu.
 
Sababu kubwa ni kubadilika kwa mfumo wa uchumi, ndio ilisababisha watu kuagiza bidhaa kila sehemu,
 
Hivi umesoma na kuelewa kweli nilichoandika au kukurupuka kama mwehu

Kukusaidia kuondoa ujinga wako Chinaaid anza na TAZARA
-Hilo china aid lina miradi mingi kiasi gani compared to USAID?
- aliyejenga reli ya kati ni nani?
 
Tanzania, kipindi cha Kikwete, tulikopa na kuweka rehani gesi yetu yooote ya Mtwara, na sasa inaenda China bure, huku sisi tukiendelea kupikia kuni na mkaa maana gesi haikamatiki kwa Watanzania wengi, hasa vijijini
Ongeza sauti hapa, kuhusu JK maana gesi ya mtwara huwa haiongelewi kabisa huku huyo JK akijifanya ndio mastamind wa siasa za bongo.
 
Kwenye Biashara hakuna msamiati wa kuopt!
Unanunua kitu unachoweza kukiuza,basi.
Mbona hatuendi kununua Marekani?..Kwa sababu bidhaa ya kimarekani utapiga nayo picha!
Hao vibarua wangekuwa wanataka malipo makubwa wasingeenda kwenye miradi ya wachina.
Hao wazungu quotation zao kubwa kwa sababu hata apartments zao wanataka za masaki na oysterbay!
Mchina akiamua analala site,kwenye tent!
 
- KuOPT kupo, pale unapokuwa na opportunities nyingi lazima kuwe na option, na ndio maana ya biashara huria, bidhaa za ulaya na US zina ubora wa juu na ni ghali kwa kipato cha watanzania ndio maana wanaenda China ambapo kuna bidhaa za madaraja ya chini ambazo watanzania wanaweza kumudu.
-Kuhusu vibarua, ulipaji wa vibaru/wafanyakazi katika sector binafsi umetungiwa sheria, kasome Wage order (minimum wage order) hivyo hata kama vibarua wameenda wenyewe kwa wachina bado wanachina wana Wajibu wa kuheshimu sheria za kazi hususan sheria ya minimum wage yaani WAGE ORDER.
- Kuhusu kulala site au la itategemea na mradi, kuna miradi ambayo mkandarasi anajenga kambi anaishi huko huko kambini hiyo hata wazungu wanafanya Hali kadhalika wachina, hoja kuu ni ubora wa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…