Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu.
Hawa watu hatari, winga Jibril winga Kipre Junior, benchi kuna Nado kuna Lyanga, kuna viungo akina Yannick Bangala Litombo.
Hawa watu walikosa kitu kimoja tu, mganga basi. Jana walikamatia njia zao zote wanazotumia kufunga watu na magoli ya kipuuzi.
Ndumba walimwekea Pacome watu wakala zote, walijifanya kama wanataka kumwekea Mudathir lakini wajanja walitonywa mapema, nyie Utopolo mpira hamna, makelele mengi sana, kumbe sangoma ndio anayewabeba, mpira mnacheza utadhani wanafunzi wa Sekondari ya Kisutu?