Tuwe wakweli tuache unafki, Kuna wanawake ambao beki zinakaba ukiwakazia ?

Tuwe wakweli tuache unafki, Kuna wanawake ambao beki zinakaba ukiwakazia ?

Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Kutongoza ni Sanaa....kila mtu sio msanii.

Nyakati nazo zimebadilika kwa sisi kipindi chetu kufukuzia miezi sita ni kawaida na hapo akikubali tu break ndoa, ndoa ikishindikana bas utakuta mmechumbiana hata miaka 3++ yaan mpaka mkikutana vijanaa mnakua mnajua kabisa flan mtu wake flan na hamna mambo mengi
 
Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Sii muda huo mnasemaga tutafute hela....sasa wee niafunguka unaringa acha zako mwisho wa siku tunasaka mwengine huku tunakusubiria 3rd floor
 
Beki kukaba ni yeye tu kutokaa karibu na vishawishi, pisi ina mazoea na wanaume kibao, mitoko kama yote, mikesha nk huyu lazima beki ziwe hazikabi tu.
 
Kama beki wa 🦁 leo au?
Screenshot_20250403-105616.jpg

Huyu mbona goli liko wazi, kaliacha wajichapie mpaka wachoke wenyewe.
 
Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Gen Z, kuwaelewa ni ngumu mno. Wako soft kuliko hata dada zao, yaani hata akitandikwa mangumi mtaani anaenda kushtaki kwa dada yake. Hizi GMO products zimewaharibu hawa watoto.
 
Back
Top Bottom