round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Wanawake wagumu kuwapata = beki zao zinakabaKivipi tena π
πKama beki wa π¦ leo au?
We mwanamkeKivipi tena π
Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.Sema nae akikubali mapema kuna namna hanogi, inatakiwa akunyime namba agomee kujibu text maraa akukatae ili siku unamshikilia nywele & kumslap huku umemweka 7 ujue nlipambana kumpata
Kutongoza ni Sanaa....kila mtu sio msanii.Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Sii muda huo mnasemaga tutafute hela....sasa wee niafunguka unaringa acha zako mwisho wa siku tunasaka mwengine huku tunakusubiria 3rd floorNyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Abee! πWe mwanamke
Kama beki wa π¦ leo au?
Gen Z, kuwaelewa ni ngumu mno. Wako soft kuliko hata dada zao, yaani hata akitandikwa mangumi mtaani anaenda kushtaki kwa dada yake. Hizi GMO products zimewaharibu hawa watoto.Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Mambo mzima?Abee! π
Wa Afya kabisa niko hapa napata flying Fish πMambo mzima?
Unakitafuta kitambi au unakikuza?Wa Afya kabisa niko hapa napata flying Fish π