π π πUnakitafuta kitambi au unakikuza?
Nialike
Upo wapi?π π π
Home tuUpo wapi?
Mbingu inakusubiri weweHakuna mani
Naam bruvMbingu inakusubiri wewe
MmwaaNaam bruv
Uzi tayari.Nimekuwa nikipinga kuna dhana ya kwamba kuna wanawake ni wagumu a.k.a beki zinakaba
Naamini shida huwa ipo kwa mwanaume mfano hana pesa, anawahi kukata tamaa, sio mcheshi, n.k.
Vipi lile jambo letu la juziHome tu
Waacha maneno yako ππNyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.
Nyinyi mkitongoza mdada siku 2 tu akikataa na nyie mnaamsha.