johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!