UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kwa kuwa misimamo ya kisiasa siyo sheria ya Musa, kama lisu alivyosema, tukimpitisha Samia bila kupingwa then akabadilisha msimamo huoni kuwa tutakuwa tumeliwa?Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.