johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anajua kumsimamisha mgombea Mwanamama kutoka Zenj, apambane na Mwanamme kutoka Tanganyika ni mtihani mzito.Jo unajishushia heshima yako kwa nyuzi za kipumbavu kama huu. Kwani mnahofia nini hadi mnataka tusiweke mgombea wa Urais?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaRais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Naunga mkono hoja na hili mimi pia nilishauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030Mratibu wa Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa amewashauri Viongozi wa Vyama vya Upinzani kutosimamisha mgombea Urais 2025.
Olengurumwa amesema Wapinzani wajikite kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ule wa Wabunge na Madiwani ila Uchaguzi wa Rais wamwachie Rais Samia kwani ameonesha uwezo mkubwa wa uongozi.
Olengurumwa amesema na hii ingekuwa vizuri kama itakuwa ni sehemu ya Maridhiano.
View attachment 2560998
Source Jambo TV
Naunga mkono hoja 100% !!Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Naunga mkono hojaRais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Naunga mkono hoja na hili mimi pia nilishauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030 ila pia nimemshauri Rais Samia, kwasababu kwa muda wa miaka miwili uliobakia kabla Rais Samia hajamaliza awamu yake ya kwanza, nimeshauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani, Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado!. Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!.Mratibu wa Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa amewashauri Viongozi wa Vyama vya Upinzani kutosimamisha mgombea Urais 2025.
Olengurumwa amesema Wapinzani wajikite kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ule wa Wabunge na Madiwani ila Uchaguzi wa Rais wamwachie Rais Samia kwani ameonesha uwezo mkubwa wa uongozi.
Olengurumwa amesema na hii ingekuwa vizuri kama itakuwa ni sehemu ya Maridhiano.
View attachment 2560998
Source Jambo TV
Serikali yake imeweka mipaka ya kuwaingilia, wapo huru kufanya biashara bila bughudha na wanauhuru wa kufanya chochote watakacho.Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Kwanini tuingie gharama wakati Mshindi kwa vigezo vyote anajulikana?!Jo unajishushia heshima yako kwa nyuzi za kipumbavu kama huu. Kwani mnahofia nini hadi mnataka tusiweke mgombea wa Urais?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Na Mbowe ni nani?Posho zimetoka hili zwazwa limetoka pangoni kusifu
Mbowe: Maridhiano ni MchakatoAmeonesha uthubutu kwa maneno pekee, mpaka sasa hakuna kitendo chochote alichowahi kufanya kuendana na maneno yake licha ya kupita muda mrefu mpaka sasa.
Hii inaweza kuwa ni hadaa tu za mwanasiasa ili atimize malengo yake, na unaposema apitishwe bila kupingwa ndio utakuwa ujinga wetu wenyewe kukubaliana na hadaa zake.
Hana dhamira yoyote ya kusimama!Kwani Mbowe anasemaje?