Pre GE2025 Tuwe Wakweli: Zaidi ya Dkt. Samia, ni mwanaCCM gani Mwingine Mwenye Uwezo wa kuwa Rais wa JMT?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shida mnaendekeza njaa...

Na mnaenda mbali zaidi na mnafananisha watawala na malaika na muumba...

Mbaya sana' hii....
Acheni kazi zake na anachokifanya kiseme na kinene chenyewe bila kuhitaji nguvu au kutumia nguvu kufanya hivyo...

Mnakufuru narudia mnakufuru, na endapo ataendelea kuabudiwa na kupenda kuabudiwa naamini muda ni rafiki wa Kila mtu'

Mungu wetu ni mwema na alitaka tumuabudu yeye na si binadamu
 
Yeye mwenyewe tu kwanza hana uwezo ni bas tu ujinga mzito wa wana ccm na uchawa wao
 
Kama ccm wangetaka kumpata kiongozi bora kuliko Samia ndani ya chama chao wangeruhusu ushindani ili wanachama wajitokeze kuchuana nae!
Kwa vile wanajua ni dhaifu Ndio maana wanamlinda dhidi ya udhaifu wake!
Umewahi kuona hata siku moja amefanya mahojiano bila kusoma kwemye karatasi?
Wako watu wengi wangejitokeza kama kusingekuwa na mizengwe ya wakina Kikwete! Wanafanya hivyo kwa kujua kuwa Samia ni pazia watawala wenyewe wakina Rostam/ Kikwete wako nyuma ya pazia wanakula nchi kwa jina la Samia.
 
Swali ni irrelevant.
CCM ikifungua mlango watu labda watachukua.
Wapo watu wana haiba CCM ambao wanaeezs kuwa Rais.
Haiba,by the way,maana yake hela.
Hiki Chama kwa kweli ni imara.
Yaani wale hawaoni watu fomu za CCM zikitolewa nyingi,hawa wajumbe,they will all be rolling in money.
 
Wacha waendelee kumwabudu huyo Mama yao. Wanasahau Mungu ni mwenye wivu anaweza tenda lolote ili aabudiwe yeye pekee
 
Lucas mw
Lucas Mwashambwa
 
We ungeulizwa swali hili kabla Jiwe hajakata moto ungejibuje? Urais wa bongo unaendeshwa kwa AUTOPILOT/CRUISE CONTROL na kila mtu anauweza akiwa exposed!! Na hii ilianza kuthibitika aliposhika mkwere tu! Wakati wa transition ya Nyerere to Mwinyi, Mwinyi to jk na jk to jiwe kila mtu alifikiria kama wewe tu na wengine ilikua propanganda tu wanafanya kama wewe ili kuuhadaa umma kwamba hamna mtz mwingine anauweza urais, Kama vile Nyerere alivyokiri kwamba alikua anaambiwa na wapambe asiachie nchi changa hii na hamna mwingine kama yeye, then alikuja kugundua baadaye kwamba wanaomwambi walikua ni kwa maslahi yao tu.

So urais sio utakatifu wala uungu hadi useme hamna mwanaccm au binadamu mwingine wa kibongo anaweza ila mama yenu tu. Nothing special baba msiaminishe watu ujinga wa kutukuza wanaowapa maslahi na kuubagaza uumbaji wa Mungu, kila mtu ana uwezo na akipata exposure atakua rais tu na huenda akafanya makubwa kuliko yeye na wewe umeconclude baada ya kumuona akitenda, hukumjua wala kufikiri anaweza kabla hajaletwa ulingoni na jiwe.

Tusikilizie upepo
 
Wewe unaona katika watanzania million 60 ni huyo kilaza pekee anafaa kuwa kiongozi namba moja? Wewe ni mjinga. Na wajinga kama wewe ndiyo wanarudisha nyuma maendeleo ya bara la Afrika. Magufuli aliandaliwa wapi? Mbona ameingia kuwa Rais na kafanya makubwa. Wajinga kama wewe ndiyo mtaji wa matapeli. Ngoja wakuf....i..re na hutanufaika na chochote. Wazazi wako waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Bumbaaavu kabisa.
 
Mleta mada acha kudhalilisha chama chako maana kama ulichosema ni kweli inamaana mliobaki ni marehemu mnaopumua
 
Before mama samia kuwa makamu wa Rais ungeweza kusema mama samia ni mwana ccm ambae alifaa kuwa raisi?
Kwani leo hii unaweza kukiri toka moyoni kuwa anafaa kuwa raisi?
 
Nร jua lengo lako tutoe ya moyoni halafu muanze kumsumbua Mello.
Sawa wewe endelea kutuรงhomesha kwa wร tawala.
 
Kabla ya hapo Makamu wa Rais aliwahi kuwa Rais wa United Republic of Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mwaka gani tena ??

Imeanzia kwa Magufuli kwa unavoidable circumstance !

Labda useme kuanzia sasa tuamini kwamba mtu akiwa Makamu basi CCM inamuandaa kuwa Rais ๐Ÿ˜ณ !
Ila nakubaliana na wewe hakuna anayeonekana mwingine zaidi ya Mheshimiwa Dr Samia ndani ya CCM ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ ๐Ÿ‘ !

Ngoja Tusubiri tuone ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ