Tuwe wazalendo, Tuipende nchi yetu na kuwaombea viongozi wetu

Tuwe wazalendo, Tuipende nchi yetu na kuwaombea viongozi wetu

Wewe kweli ndiyo maana JPM aliishia kukuita NI NJAAA hakukosea
Usimsingizie JPM kuwa aliniita njaa, alisema tuu maana ya jina la mayalla kwa Kisukuma ni njaa, ila sio njaa ya chakula au njaa ya tumbo ambayo dawa yake ni shibe, mayalla ni baa la njaa linalosababishwa na ukame, hunger, drought, famine na sio njaa ya mlo!.
RIP JPM
P
 
Ukiwa na njaa hatuwezi kuongea na ukiongea lazima tu utaongea utumbo ndo maana JPM hakukujibu moja kwa moja akatumia jina lako kukujibu na ndo maana Hadi Leo unaunga mkono hata zile hoja zisizona mantiki.

Yani Leo hii nipige goti au nifumbe macho kumuombea SSH ambae utawala wake umekuwa wa kiuaji?? Hajawahi hata kusimama jukwaani kuwataka Radhi wananchi kwa kilichotokea what a shame😡😡.

Samahani kama nitakuwa nimekukosea wakwetu na RIP kwa mwamba kweli kweli jiwe JPM🙏
 
Yani Leo hii nipige goti au nifumbe macho kumuombea SSH ambae utawala wake umekuwa wa kiuaji?? Hajawahi hata kusimama jukwaani kuwataka Radhi wananchi kwa kilichotokea what a shame😡😡.
Tatizo lako na wengi wenu, hamna uwezo wa kusoma in between the lines na kusikiliza in between the words, japo ni kweli hajaomba msamaha expressly kwa Watanzania kwa kilichotokea October 29, sio mara moja wala mara mbili, ameomba msamaha impliedly kwa kutoa kauli apologetic
P
 
Back
Top Bottom