hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira.
Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea kwa sababu mbili.
Mosi ni uwezo wa timu kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wake.
Hapa ntatolea mfano timu yangu pendwa ya Barca wakati wa enzi za Pep.
Playing style ya barca (tiki taka) wakati huo ilikuwa inamfanya aweze kucheza na kuumiliki mpira hata kama timu pinzani ikiamua isipaki basi.
Walikua na uwezo wa kucheza na kumiliki mpira hata kama timu pinzani wataamua kukabia juu (high pressing).
Ndiyo maana ulikuwa unaweza kumfunga Barca lakini lakini sio kumzidi kumiliki mpira.
Turudi kwa Simba sasa.
Simba kwa sasa haina watu wa kuweza kumiliki mpira.Kuna wachezaji hata ball control zao ni za mashaka kwa kifupi wanacheza pira papatu papatu.Lile pira biriani ni zilipendwa.
Pili ni game approach ya kocha.
Timu inaweza kuonekana inacheza mpira kutokana na approach za kocha wa timu pinzani.
Jana kocha wa Al Ahly tangu dakika ya kwanza game plan yake ni kupaki basi na sio kupishana na Simba.Kwenye football timu ikishaamua kupaki basi maana yake wameruhusu timu pinzani icheze na imiliki mpira kwa kiwango kikubwa ndiyo maana jana simba alionekana akicheza sana mpira na kuwashambulia mno Al Akhly.
Kocha alishapima akaona hata akiruhusu simba wacheze na yeye apaki basi hawatokuwa na madhara langoni mwao na ndicho kilichotokea.
Simba waliruhusiwa kucheza lakini hawakupata bao hata moja.
Unafikiri kwa nini game ya Ahly na Yanga Cairo Ahly awakupaki basi?
Ni kwasababu walijua ubora wa Yanga.
Laiti wangepaki basi na kuruhusu Yanga acheze kama walivyoruhusu jana Simba acheze wangeweza kufungwa hata goli tatu.
Hivyo makolo msijifariji kwamba jana mlicheza mpira ni approach ya kocha wa Ahly kwa game ya jana ndiyo iliyowapa faida ya nyinyi kucheza.
Laiti Ahly angesema afunguke pengine mngefungwa hata tatu na mpira mngeusaka kwa tochi.