Tuweke akiba ya maneno 2025 si mbali

Tuweke akiba ya maneno 2025 si mbali

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Wako watu sasa hivi wanatamba, kana kwamba wamesahau yaloyowapata wenzi wao waliodhani ni wao duniani hata wengine walidiliki kutoa shuhuda kwamba ktk wanaokula raha ni wao tu duniani.

Hali ile ile wengi walio upande Wa mshika mpini, wanajisahau kana kwamba waliopita hawakuwa na akili. Nikutahadharishe kuti ulilolikalia ni kavu likidondoka linafondoka na wewe be humble na watumikie wananchi kwa weredi na heshima hukujiumba wewe hii umeruzukiwa tu wala hauko bora kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom