Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,243
Reaction score
2,378
Habarini za muda huu wadau!!

Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.

Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako?

Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?
 
Cha msingi ni kuachana naye mtu mpaka anaamua kukuchiti means tayari upendo amna hapo
Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria.
 
Habarini za muda huu wadau!!

Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.

Je ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako??

Je utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako??
Kujishughulisha kufanyeje?
 
Kumfumania mtu ni uswahili na ushamba wa kitoto , Acha wamalize shoo zao kama nikumwacha achana nae kama nikumsamehe ndio umeamua hivyo msamehe.
 
hii si muda wa haya mambo
Kuna watu wanaparuana kuhusu Twitter kufungwa
Kuna watu wanasema wao ni chura viziwi
Kuna watu wanasema tuamie burundi na pesa ya nauli hawajatupatia
Kuna watu wanateua MAITI
Kuna viongozi wanapewa ofisi na mishahara wanakwenda kufunua vijambio vya watoto wakike wanaacha kazi walizofanya.
Abdul kafukuzwa na kuambiwa shenzi
Mama Abdul analalamika anatukanwa na kasema mahakamani aendi na hajibu

Hayo ni masuala madogo tu waganga wapo au muue huyo mtu ukapumzike segerea
Kakaa 😅
 
Sasa ukisema u deal na mgoni wako uta deal nao wangapi kama mtu tabia Iko kwenye damu? Suluhisho ni kuachana naye kwa amani la sivyo utaishia jela au kurogwa.
Nakubaliana na wewe, kitu amchacho jamii yetu haikubali uhalisia
 
hii si muda wa haya mambo
Kuna watu wanaparuana kuhusu Twitter kufungwa
Kuna watu wanasema wao ni chura viziwi
Kuna watu wanasema tuamie burundi na pesa ya nauli hawajatupatia
Kuna watu wanateua MAITI
Kuna viongozi wanapewa ofisi na mishahara wanakwenda kufunua vijambio vya watoto wakike wanaacha kazi walizofanya.
Abdul kafukuzwa na kuambiwa shenzi
Mama Abdul analalamika anatukanwa na kasema mahakamani aendi na hajibu

Hayo ni masuala madogo tu waganga wapo au muue huyo mtu ukapumzike segerea
😀😀
 
Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria wengi uelewa wao mdogo....

Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria.
Hicho kitu binafsi huwa nashangaa mtu amemfumania mpenzi wake anaanza kumdhalilisha yule aliymfuma naye.....sasa huwa najiuliza kwani huyo mpenzi wake walikubalia au alibakwa.

wangekuwa wanjiuliza hili swali wasingekuwa wanafanya ujinga wanaoufanya
 
Kwanza ni aibu hata kwako hadi watu wajue kama umetombewa.
Ni kimya kimya tu unawacha ili wakabanduane vizuri.
 
Kitu ambacho nna uhakika ntakifanya kwa huo wakati ni sitofanya lolote la kumuaibisha huyo mwanamke mengine tutayajua huko huko
 
Ni kufanya kile akili yako itakutuma kwa wakati huo
 
Kwanza ni aibu hata kwako hadi watu wajue kama umetombewa.
Ni kimya kimya tu unawacha ili wakabanduane vizuri.
Hakuna kitu kinaitwa kutombewa. Kutombewa ndo nini? Si ni kila mtu ana kiungo chake?

Hivi mtu akikuahidi kuwa atakupa pesa wewe tu halafu baada ya muda akampa na jirani yako umeibiwa na jirani au umedanganywa na aliyeahidi kukupa pesa kuwa hatampa mwingine?

Hakuna kitu kinaitwa kutombewa, kiungo Kikitumika huko kwa ridhaa yake na mlikubaliana hatakitumia pengine zaidi yako, hujatombewa, umedanganywa. Huna sababu ya kuhemka, ni kwamba uliahidiana na mtu muongo na umegundua kuwa ni muongo.

Hii mambo ya kufikiria kuna kutombewa ndo mnapata mihemko ya kupakana mafuta na kuuana kisa uke.
 
Pia tukumbushane usitembee na wake za watu ili kuwaepuka wavivu wa kufikiri.
Ni kweli lakini baada ya kuona hiyo video, nimeowaona wale vijana kwa namna hiyo. Kwasababu inawezekana huyo mwanamke hakumkuta na usichana wake, akamfumania then akamdhalilisha mwanaume aliyemfumania nae (hapa aliyefumaniwq inawezekana alikua anajua/hakua anajua kama anayeshiriki nae ni mke wa mtu) lakini pia sio kwamba huyo mwanamke ndio ataachs kama ndio tabia yake.
 
Back
Top Bottom