Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

Ni kweli lakini baada ya kuona hiyo video, nimeowaona wale vijana kwa namna hiyo. Kwasababu inawezekana huyo mwanamke hakumkuta na usichana wake, akamfumania then akamdhalilisha mwanaume aliyemfumania nae (hapa aliyefumaniwq inawezekana alikua anajua/hakua anajua kama anayeshiriki nae ni mke wa mtu) lakini pia sio kwamba huyo mwanamke ndio ataachs kama ndio tabia yake.
Unashauri watu waoe bikra?
 
Upo sawa ila kwa hali ilivyo usalama ni kutokuhangaika na wake za watu si kuwaelimisha wenye wake.
 
Unasubiri wamalize kunyanduana kwanza.

Huenda ukajifunza style mpya labda jamaa anakuzidi mbwinu
 
Kumfumania mtu ni uswahili na ushamba wa kitoto , Acha wamalize shoo zao kama nikumwacha achana nae kama nikumsamehe ndio umeamua hivyo msamehe.
Mwanangu hivi utamsamehe vipi manake kila akilala mtoto analalama na kumtacha mwana alie mnyandua🤣🤣🤣
 
Habarini za muda huu wadau!!

Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.

Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako?

Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?
Kwanza kabisa kwa upande wangu sifanyi hata siku moja kazi ya kumfumania Aidha mke wangu au mpenzi wangu. Kwasababu mpaka mwanamke anachepuka ujue kunasababu mbili kuu tatu kwako, Aidha unamapungufu fulani, au nitabia yake mbaya au analipiza kisasi kwakuwa nawewe umetenda hivyo. Muhimu kwenye ndoa ni kuhishi kwa kuheshimiana na si kwakutegeana mitego mitego, sisi binadamu siyo wakamilifu kwahiyo nilazima tuwe tunaangalia hivi huyu mume au mke wangu mpaka anaamua kufanya Tendo hili na mtu mwingine wakati kila siku tunalala wote kitanda kimoja sababu yake. Nini. Ila ukiamua kupigana au kumuadhibu muhusika wala siyo dawa, sana sana utajiongezea mastress bure.
 
Back
Top Bottom