Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria.Cha msingi ni kuachana naye mtu mpaka anaamua kukuchiti means tayari upendo amna hapo
Kujishughulisha kufanyeje?Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako??
Je utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako??
Kakaa 😅hii si muda wa haya mambo
Kuna watu wanaparuana kuhusu Twitter kufungwa
Kuna watu wanasema wao ni chura viziwi
Kuna watu wanasema tuamie burundi na pesa ya nauli hawajatupatia
Kuna watu wanateua MAITI
Kuna viongozi wanapewa ofisi na mishahara wanakwenda kufunua vijambio vya watoto wakike wanaacha kazi walizofanya.
Abdul kafukuzwa na kuambiwa shenzi
Mama Abdul analalamika anatukanwa na kasema mahakamani aendi na hajibu
Hayo ni masuala madogo tu waganga wapo au muue huyo mtu ukapumzike segerea
😀😀hii si muda wa haya mambo
Kuna watu wanaparuana kuhusu Twitter kufungwa
Kuna watu wanasema wao ni chura viziwi
Kuna watu wanasema tuamie burundi na pesa ya nauli hawajatupatia
Kuna watu wanateua MAITI
Kuna viongozi wanapewa ofisi na mishahara wanakwenda kufunua vijambio vya watoto wakike wanaacha kazi walizofanya.
Abdul kafukuzwa na kuambiwa shenzi
Mama Abdul analalamika anatukanwa na kasema mahakamani aendi na hajibu
Hayo ni masuala madogo tu waganga wapo au muue huyo mtu ukapumzike segerea
Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria wengi uelewa wao mdogo....
Hicho kitu binafsi huwa nashangaa mtu amemfumania mpenzi wake anaanza kumdhalilisha yule aliymfuma naye.....sasa huwa najiuliza kwani huyo mpenzi wake walikubalia au alibakwa.Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria.
Pia tukumbushane usitembee na wake za watu ili kuwaepuka wavivu wa kufikiri.Nakubaliana na wewe, kuna video nimekutana nayo leo mtandaoni vijana wanamdhalioisha kijana mwenzao baada ya kumfumania, hii imenifanya niwaone wavivu wa kufikiria.
Hakuna kitu kinaitwa kutombewa. Kutombewa ndo nini? Si ni kila mtu ana kiungo chake?Kwanza ni aibu hata kwako hadi watu wajue kama umetombewa.
Ni kimya kimya tu unawacha ili wakabanduane vizuri.
Ni kweli lakini baada ya kuona hiyo video, nimeowaona wale vijana kwa namna hiyo. Kwasababu inawezekana huyo mwanamke hakumkuta na usichana wake, akamfumania then akamdhalilisha mwanaume aliyemfumania nae (hapa aliyefumaniwq inawezekana alikua anajua/hakua anajua kama anayeshiriki nae ni mke wa mtu) lakini pia sio kwamba huyo mwanamke ndio ataachs kama ndio tabia yake.Pia tukumbushane usitembee na wake za watu ili kuwaepuka wavivu wa kufikiri.