Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

Unashauri watu waoe bikra?
 
Upo sawa ila kwa hali ilivyo usalama ni kutokuhangaika na wake za watu si kuwaelimisha wenye wake.
 
Unasubiri wamalize kunyanduana kwanza.

Huenda ukajifunza style mpya labda jamaa anakuzidi mbwinu
 
Kumfumania mtu ni uswahili na ushamba wa kitoto , Acha wamalize shoo zao kama nikumwacha achana nae kama nikumsamehe ndio umeamua hivyo msamehe.
Lakini moyo unauma sana 😂!!.
 
Kumfumania mtu ni uswahili na ushamba wa kitoto , Acha wamalize shoo zao kama nikumwacha achana nae kama nikumsamehe ndio umeamua hivyo msamehe.
Mwanangu hivi utamsamehe vipi manake kila akilala mtoto analalama na kumtacha mwana alie mnyandua🤣🤣🤣
 
Kwanza kabisa kwa upande wangu sifanyi hata siku moja kazi ya kumfumania Aidha mke wangu au mpenzi wangu. Kwasababu mpaka mwanamke anachepuka ujue kunasababu mbili kuu tatu kwako, Aidha unamapungufu fulani, au nitabia yake mbaya au analipiza kisasi kwakuwa nawewe umetenda hivyo. Muhimu kwenye ndoa ni kuhishi kwa kuheshimiana na si kwakutegeana mitego mitego, sisi binadamu siyo wakamilifu kwahiyo nilazima tuwe tunaangalia hivi huyu mume au mke wangu mpaka anaamua kufanya Tendo hili na mtu mwingine wakati kila siku tunalala wote kitanda kimoja sababu yake. Nini. Ila ukiamua kupigana au kumuadhibu muhusika wala siyo dawa, sana sana utajiongezea mastress bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…