Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.

Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.

Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
Lukamba
Kifesi
Director kenny
................

Nitaendelea
kama shamte naye ni staa wa bongo basi
tanzania itakuwa na mastaa weng sana,
 
Hahahaha wewe mwenyewe unajua Baba Levo ameanza kujulikana lini na hadi mshua wako.
We umeanza kufatilia mziki juzi tu kumbe, kuna mtu alikua haijui ile ngoma ya vuvuzela. ?? Kama huijui basi kaa kimya acha wakubwa waongee.
 
Hajui Kama baba levo alianza kufahamika kabla ya mond [emoji23]
Mondi kamboost ila sio kua jamaa alikua hafahamiki. Hao kina lavalava sawa ila huyu hapana.
Kipindi vuvuzela ya baba levo iko hot ye alikua darasa la kwanza igirighito huko.
 
Back
Top Bottom