Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

kama shamte naye ni staa wa bongo basi
tanzania itakuwa na mastaa weng sana,
 
Hahahaha wewe mwenyewe unajua Baba Levo ameanza kujulikana lini na hadi mshua wako.
We umeanza kufatilia mziki juzi tu kumbe, kuna mtu alikua haijui ile ngoma ya vuvuzela. ?? Kama huijui basi kaa kimya acha wakubwa waongee.
 
Hajui Kama baba levo alianza kufahamika kabla ya mond [emoji23]
Mondi kamboost ila sio kua jamaa alikua hafahamiki. Hao kina lavalava sawa ila huyu hapana.
Kipindi vuvuzela ya baba levo iko hot ye alikua darasa la kwanza igirighito huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…