Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated kwenye os at least android 12 up.
Naona Xperia 1v, HMD aura na HMD PULSE PRO
Emu mnipe maarifa
Naona Xperia 1v, HMD aura na HMD PULSE PRO
Emu mnipe maarifa