Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

Noo opo hasa color os naielewa mno ningepata soko la secondhand nzur ningedaka find ya nyuma kidogo
Ukipata kuanzia Find X5 Pro au X6 Pro tamu sana.
IMG_0302.jpeg

Mi nitanunua Find X8 Ultra ikipoa poa bei mwakani maana inazinduliwa mwezi ujao.
 
Hivi unajua Samsung Galaxy S24 Ultra inapitwa kamera na simu nyingi za Kichina? vivo X100 Ultra, vivo X100 Pro, Xiaomi 14 Ultra, Honor Magic 6 Pro, Oppo Find X7 Ultra, etc
Hizo simu alizo orodhesha hapo nina jamaa zangu wanakuja kuomba wapige picha kwenye ki Vivo changu afu silingi
 
Hivi unajua Samsung Galaxy S24 Ultra inapitwa kamera na simu nyingi za Kichina? vivo X100 Ultra, vivo X100 Pro, Xiaomi 14 Ultra, Honor Magic 6 Pro, Oppo Find X7 Ultra, etc
Bro umetisha. Vyombo vya habari vinatubrainwash tunaamini Apple na Samsung ndio best kwa camera.

Hivi izo simu nanunulia wp? Leo nilikua nacheki Vivo X100 Pro na X7 Ultra naona Million 2 zileee.
 
Oya nisamee sana kwa kuita famba nimejaribu kwenye low light hapa town mida ya jion ila ni ile pro 700k, Iko vyema ila Sasa mkuu jina lilishachafuka nimeamua kwenda na 1+ 12 good bye!
One plus 12 umechukua Kwa bei Gani?
 
Back
Top Bottom