jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi.
Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia.
Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali hawakuielewa vyema na walishindwa kuja na namna bora ya kuitekeleza.
Lakini nimefurahishwa na Government machinneries zilivyoweza kuboresha ,kumsoma na hatimaye kumuelewa katika sera hii aliyoingia nayo.
1,-Eneo la kwanza
Inaonekana analysts wa Kitanzania waliona mbali juu ya muelekeo wa Geo politics na Global politics mapema sana. Kuyumba kwa mahusiano ya west na Wengineo,Kuyumba kwa uchumi,kubadilika kwa mahitaji ya nishati,biashara n.k
2,-Mshirika wetu wa awali na pengine mwenye vinasaba na watanzania yaani mwarabu...kwa muda mrefu tulimweka pembeni japo inaonekana ameelekea kuimarika kiuchumi chini ya mbinu mpya za kiutandawazi.
3-Muelekeo usioridhisha na usiotabirika sana wa nchi za EAC dhidi ya fursa za udugu na Wana-SADC
4-Muendelezo wa kujenga haiba ya kitajiri na weledi ulioasisiwa na Mwl.Nyerere ,ukajengewa mifumo na Mkapa na ukaanza kutekelezwa na JPM.
5-Matumizi ya mwanadiplomasia mkongwe Jakaya Mrisho Kikwete na nguvu yake katika Africa-International relations(N.B JK alipikwa kidiplomasia toka enzi za AICC na akapikika zaidi akiwa foreign office.He is just the master in international neyworking.!!
Kwa ufupi ninaona kazi muhimu mbele yetu ni kumpa na kumpa tena ili twende kwao 2025.
Kilichobakia ni kumentor vijana bora ambao kwa sasa wamevamia ughaibuni sio kwa kuzamia bali kwa kwenda kufanya biashara with daring mind and a lot of confidence.
GAP:Tunahitaji kuandaa bidhaa za kidiplomasia tutakazozipeleka nje ya nchi....
Mfano:Swahili Culture,Singeli music,Packaged processed products,electronics based on available minerals n.k
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!