Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Una takwim za NFRA?Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
Unaspeech ambayo Magufuli anazuia kuuzwa kwa vyakula nje? Mama kaboresha tu hii sera, anataka tunapouza mazoa nje tuingize dola. Na hapa ndipo tunaenda kupiga hatua kama nchi.Acha kuokoteza okoteza vispeech vya Hayati JPM ,CHUMA, bila kuruhusu matope yako kichwan kufikiria ni alizungumza mwaka gan hayo, Kwa Watu gan.
Wewe Bashe, ni mpuuzi tuu, ulomdanganya SSS, Sasa SSS kaona isiwe tabu, Karudi mule mule Kwa JPM.
Na Bado.
Tunakusubiria kwenye BBT, mbona Utaona Nchi Chungu.
Na kumlisha manenoWanajitahidi sana kupambana na magufuli. Bila mafanikio
kama huna akili ya kuelewa mambo si tatizo langu.Mchawi mkubwa wewe wapi amesema wauze mazao nje nimesikiliza video yote sijaona
Mbona kwenye hiyo video hapo juu hakuna sehemu aliyoongelea kuhusu kuzuia au kutokuzuia kuuza mazao nje ya nchi kwenye hiyo klip nimemsikia akihamasisha watu walime na kukataza kumpangia mkulima bei ya mazao yake basi
Tuwekee speech magu ameruhusu kutoa vyakula nje sie za bashe tutakuwekea za kutosha tuuUnaspeech ambayo Magufuli anazuia kuuzwa kwa vyakula nje? Mama kaboresha tu hii sera, anataka tunapouza mazoa nje tuingize dola. Na hapa ndipo tunaenda kupiga hatua kama nchi.
Washindwe na Walegee.Wanajitahidi sana kupambana na magufuli. Bila mafanikio
Kakataza kumpangia mkulima bei. Unafikiri mkulima anapangiwaje bei? Kwa akili yako unafikiri serikali inawafuata na kuwaambia mchele muuze 1,000 kwa kilo!!?Mbona kwenye hiyo video hapo juu hakuna sehemu aliyoongelea kuhusu kuzuia au kutokuzuia kuuza mazao nje ya nchi kwenye hiyo klip nimemsikia akihamasisha watu walime na kukataza kumpangia mkulima bei ya mazao yake basi
Kwa hiyo speech hapo juu Magufuli karuhusu wakulima wauze popote? Unaspeech anayokataza wananchi kuuza mazao nje ya nchi?Wanajitahidi sana kupambana na magufuli. Bila mafanikio
Tuwekee speech magu ameruhusu kutoa vyakula nje sie za bashe tutakuwekea za kutosha tuu
We jamaa msengerema kweli. Mahindi yalifungiwa miaka mitatu tukajauza kama chakula cha mifugo yakiwa yameoza. Usitukumbushe maumivu aiseeKuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
Sababu wakenya walikataa kununua mahindi kwetu, wakidai yana sumu kuvu na sababu nyingine za kibiashara. Haikuwa sababu JPM alizuia kuuza nje.We jamaa msengerema kweli. Mahindi yalifungiwa miaka mitatu tukajauza kama chakula cha mifugo yakiwa yameoza. Usitukumbushe maumivu aisee
Wewe jamaa ni chizi nini? Post yako inahusiana na kuuza mazao nje na sio kupangiana bei .Kakataza kumpangia mkulima bei. Unafikiri mkulima anapangiwaje bei? Kwa akili yako unafikiri serikali inawafuata na kuwaambia mchele muuze 1,000 kwa kilo!!?
Kwa hiyo speech hapo juu Magufuli karuhusu wakulima wauze popote? Unaspeech anayokataza wananchi kuuza mazao nje ya nchi?
Wakulima huwa wanapangiwaje bei?Wewe jamaa ni chizi nini? Post yako inahusiana na kuuza mazao nje na sio kupangiana bei .
Au umesahau ulichoandika