Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
Kwani hata kama alizuia au hakuzuia kwani yeye ni nani? Si marehemu tu. Samia ana uhuru wa Kufanya lolote analoona ni saww bila kutegemea huyo marehemu alifanya nini