Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.