Tuweke ushabiki pembeni: Hatua ya Robo Fainali ni ngumu kuliko tunavyopiga hesabu za vidole na kujifariji

Hata kundi la Yanga ni famba
 
Mpira wetu unahitaji serious uwekezaji sio hao wapumbavu akina Mo??????

Mo ni chupli sana
Juzi qmeropoka kuwa ameinunua simba.

Kwa wawekezaji kama hao timu zetu mwisho wake ni Robo tu.
WANOKOTEZA WACHEZAJI.
 
Mshamba mkubwa hiyo avatar kma ni yako unafaa kuishi kuzimu post zako ni kati ya post mbaya nakutana nazo jf aiseee
 
Ile wamepost CAF wenyewe achana na hizo za mashabiki wa Yanga
REJEA HISTORIA HUKO NYUMA MBONA IKO WAZI MZEE.

CAF WALIPOST KUWA SIMBA HAIJAWAI KUCHEZA FAINALI MBONA WAZEE WA KUFUKUA WALIFUKUA MAKABULI
 
Na ndiyo maana nilisema kuwa kidogo Asec tunaweza kukomaa nae lakini hao wengine tunajipa matumaini tu.
Wote wanafungika tu! Kama Mamelodi sundowns mwenyewe na mipunga yake alitolewa jasho na TP Mazembe kule Congo kwa nini asifungwe? Timu zote zilizopo robo ni maji marefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…