NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
HILO SWALI AULIZWE MO DEWJAmeinunua kutoka kwa nani na kwa kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HILO SWALI AULIZWE MO DEWJAmeinunua kutoka kwa nani na kwa kiasi gani?
Wana Simba acheni kumkasirikia Mo kwa kusema ukweli kuwa ameinunua Simba.Ameinunua kutoka kwa nani na kwa kiasi gani?
KILA LA HERI KWAKEAl ahly Bingwa
Awapi hana uwezo huo nje ya al ahly na mamelodyMe nawapa nafasi Petro Atletico de Luanda kubeba hili kombe kwa sababu wapo conpact sana na wanacheza kwa nidhamu
Utofauti wa viongozi au mashabiki wa yanga na simba ni upi?Utopolo Wote wanawaza kama Wewe...
Wana Lunyasi wanawaza tofauti..
.
Ni tarehe 13 mwezi huu.Kwani draw ni lini..?
Kwani mamelodi wanacheza 20?Kwa timu yako UNGA UNGA unadhani utamfunga Mamelody umtoe kwenye Reli?!
Zile timu zimewejeza hazina utani Kama timu zako za Kariakoo
ENDELEA KUTETEA TIMU YAKO KOLOZDAD TU.Kwani mamelodi wanacheza 20?
Kila la kheri Yangaaa 💛💛💛💚💚💚💪!
Ni nani anawafananisha?OP KIDOGO.
CHAMA AMEFANANISHWA NA WACHEZAJI WAFUATAO.
1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAIDO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5 .PAKOME ZIZUU.
ASEC Memosas mnawachukulia simple sana mnasahau wameongoza kundiMkuu tuongee ukweli, hakuna mtu mwepesi ktk hii hatua kama Simba na Asec.
Yeyote atakayepangwa dhidi ya Simba au Asec, nje ya Mamelod na Al Ahly, ni wazi kwamba amepewa mteremko kwenda Nusu.
Wale Asec wakirudi kucheza tena na timu za Tanzania hatua ya robo, hawezi kuchukua ushindi kwa Mkapa wala kule kwao, hasa hasa iwe dhidi ya Yanga.
Kama unadhani Mazembe ni wepesi peleka timu yako uoneWote wanafungika tu! Kama Mamelodi sundowns mwenyewe na mipunga yake alitolewa jasho na TP Mazembe kule Congo kwa nini asifungwe? Timu zote zilizopo robo ni maji marefu!
Acha mzaha Mamelodi ukipata goli mbili wewe ni kidumeYaani hata mamelodi akijichanganya kwa yanga anaweza kula mkono vile vile,cha msingi uingie tu kwenye mfumo
WATU WANAICHUKULIA SIMPLE SIMPLE MAMELODI.Acha mzaha Mamelodi ukipata goli mbili wewe ni kidume
Ndio yale yale mtu katoka na wenge la Jwaneng kaenda kucheza kwa wajela jelaWATU WANAICHUKULIA SIMPLE SIMPLE MAMELODI.
HATARI SANA[emoji16]Ndio yale yale mtu katoka na wenge la Jwaneng kaenda kucheza kwa wajela jela
ACHANA NAE HUYOKama unadhani Mazembe ni wepesi peleka timu yako uone