Tuweke ushabiki pembeni: Hatua ya Robo Fainali ni ngumu kuliko tunavyopiga hesabu za vidole na kujifariji

Wote wanafungika tu! Kama Mamelodi sundowns mwenyewe na mipunga yake alitolewa jasho na TP Mazembe kule Congo kwa nini asifungwe? Timu zote zilizopo robo ni maji marefu!
MAZEMBE IMEANZA KURUDI SIYO ILE ILIYOFUNGWA NA YANGA NJE NDANI SHIRIKISHO MZEE SAHIVI WAPO MOTO
 
umeangalia mechi ambazo wamecheza wakiwa washafuzu basi ukaamua wajudge kbs , wabongo bana kaangalie Huyo mnayama alivyotafuta sare hapa nyumban ambako hata wydad , al ahyl , kaizer chief , horoya , etc walishindwa pata hata sare
 
Na ndiyo maana nilisema kuwa kidogo Asec tunaweza kukomaa nae lakini hao wengine tunajipa matumaini tu.
kwamba aliyefuzu mechi mbili mkonon ndo mnamuita kibonde , hv watz nan aliwaroga ? timu ipi ilifuzu na mechi 2 mkono kwa msimu huu ?
 
Me nawapa nafasi Petro Atletico de Luanda kubeba hili kombe kwa sababu wapo conpact sana na wanacheza kwa nidhamu
hatua ya mtoano si hatua ya makundi , huku ni uzoefu na ubora wa timu na ubora wa mchezaj mmoja mmoja , subir uwaone wakubwa watavyoanza piga kabumbu
 
Mpira wetu unahitaji serious uwekezaji sio hao wapumbavu akina Mo??????

Mo ni chupli sana
Juzi qmeropoka kuwa ameinunua simba.

Kwa wawekezaji kama hao timu zetu mwisho wake ni Robo tu.
akinunua hapaswi kusema ukwel ? nan mpumbav kati ya Mo anaeongea ukwel na ww mgonjwa wa psychology hutak sikia ukwel !
 
Petro Atletico de Luanda ni giant wa soka la vilabu Afrika. Wamekuwa wakiingia robo fainali mpaka just fainali CAF champions League. Sasa unaposema ni new comer means hujui mpira.
Ndo nilipo mdharau hapo mie tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira hauko hivyo,simba na yanga wakipambana kama walivyopambana mchi zao za mwisho wanafuzu kwenda nusu,hakuna timu isiyofungwa duniani.
 
Kwani draw ni lini..?
Tarehe 13 mwezi huuuu
Samahani tunaomba source, hawa ni CAF wenyewe.

TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Final Teams confirmed (Published: Sunday, 03 March 2024)​



CAF will announce the date for the draw of the quarter-finals in the coming days.


 
akinunua hapaswi kusema ukwel ? nan mpumbav kati ya Mo anaeongea ukwel na ww mgonjwa wa psychology hutak sikia ukwel !
Hawataki ukweli Kuwa Mo Dewj kusema kanunua timu
 
Mpira hauko hivyo,simba na yanga wakipambana kama walivyopambana mchi zao za mwisho wanafuzu kwenda nusu,hakuna timu isiyofungwa duniani.
Kwa timu yako UNGA UNGA unadhani utamfunga Mamelody umtoe kwenye Reli?!
Zile timu zimewejeza hazina utani Kama timu zako za Kariakoo
 
Ndo nilipo mdharau hapo mie tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SOMA VIZURI NILICHOKIANDIKA
HATA SIMBA NA YANGA NI GIANT UKISOMA HISTORIA YAO LAKINI WAMEJIPATA WAKATI GANI?!

NJOO KWA ENYIMBA HAWA NAO WANAHISTORIA NZURI TU LAKINI SAIVI WAKIINGIA WANAONEKANA NEW COMER TU.
 
TAREHE 13/3 MKUU
 
Petro Atletico de Luanda [emoji1029] Ndio timu ya Kwanza kucheza mechi 6 za Makundi ya Ligi ya mabingwa Africa #TotalEnergiesCAFCL Bila kuruhusu bao.
 
Mpira wetu unahitaji serious uwekezaji sio hao wapumbavu akina Mo??????

Mo ni chupli sana
Juzi qmeropoka kuwa ameinunua simba.

Kwa wawekezaji kama hao timu zetu mwisho wake ni Robo tu.
Ameinunua kutoka kwa nani na kwa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…