Tuweke ushabiki pembeni: Hatua ya Robo Fainali ni ngumu kuliko tunavyopiga hesabu za vidole na kujifariji

OP KIDOGO.

CHAMA AMEFANANISHWA NA WACHEZAJI WAFUATAO.

1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAIDO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5 .PAKOME ZIZUU.
Ni nani anawafananisha?

Kuna watu tambo za MASHABIKI huwa zinawaingia ndani mpaka kwenye DNA zenu
 
ASEC Memosas mnawachukulia simple sana mnasahau wameongoza kundi
 
Wote wanafungika tu! Kama Mamelodi sundowns mwenyewe na mipunga yake alitolewa jasho na TP Mazembe kule Congo kwa nini asifungwe? Timu zote zilizopo robo ni maji marefu!
Kama unadhani Mazembe ni wepesi peleka timu yako uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…