Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Kufuatia zile kelele eti oh Makolo na wao wanamedali za CAF, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikaamua kuzama chimbo na kushangaa nicho kiona.

Nikaamua kuja nacho kwenu wadau munisaidie hivi ni kweli makolo walivaa medali ama ni mapati ya sido?

 
Waliowahi kutumia shilingi 200 za Noti miaka ile ya 90 wanaweza kuzifananisha na shilingi 200 za Sarafu ya Sasa kwa Uthamani?

Anyways, Hongereni Watani kushika nafasi ya Pili.

Muhimu sasa tungeungana kupinga Sheria ya Fainali kuchezwa Home/Away as zinatengeneza mazingira ya kupangwa mshindi.

Mbona wenzetu Uefa hawana hayo mambo ya Away/Home fainali
 
Yani unatofautisha medal ya kipindi hiko na sasa ambapo kila kitu kimechange....
Ukianza UTANZANIA(yaani UZUZU) tulionao wooote wenye kovu la chanjo ya ndui begani, kuna la ziada wenzetu wa YANGA wamejaaliwa, UKIKE na UWENDAWAZIMU.

Ni kujiepusha nao tu, kila wakati ni kuhamisha mada, HAWAELEWEKI kama Chama fulani yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…