Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

Kwani mkuu miaka yote 30 hamkua na kikosi uwanjani mpaka muwe mnalilia rekodi ya zilipendwa
Nyinyi mliochukua ubingwa mara nyingi kuliko Simba Sc (mkapata nafasi ya kwenda kimataifa mara nyingi zaidi), miaka yote hiyo mlifanya nini?
 
Sasa hata km ingechezwa match 1, utopoloo angepigwa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mfano ile ya kwa mkapa, si ndo ingekua USMA wamechukua kiulainiiii
Final mechi 2 ndo Iko poa Ili kama ukifungwa tujue umefungwa kweli sio Kwa bahati mbaya. Maana unapewa nafasi ya kurekebisha makosa kama ulikosea mechi ya kwanza
 
Waaoww sisi hata siku moja hatujawahi kujitapa kuhusu safari za kimataifa kama nyie,mlifikia hatua kusema ofisi za CAF ni sawa na sebuleni kwenu. Sasa safari zote zile na michuano yote ile bado hamkuweka rekodi mpya zaidi ya kulilia ya miaka 30 iliyopita
Nyinyi mliochukua ubingwa mara nyingi kuliko Simba Sc (mkapata nafasi ya kwenda kimataifa mara nyingi zaidi), miaka yote hiyo mlifanya nini?
 
Back
Top Bottom