Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

TUELEWANE MWISHO WA KUFA KIUME NI NUSU FAINALI UKIFIKA FAINALI HAIJALISHI UTACHUKUA AU UTAKOSA UTAKUWA SHUJAAA TUU MAANA UMEVUKA MENGI HADI KUFIKA FINAL nawasilisha
 
demu katolewa bikra miaka ya 90 wewe umemla Leo unajiona bingwaaa?
so sad
Demu mwenye hakujui au hujawasikia jana CAF......

Timu ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainali ya CAF kwa mujibu wanao andaa haya mashindano CAF ni Yanga. Nyie kama mlifika fainali ya CAF basi ya Lipumba yenye makao makuu yao Buguruni.

Hilo bati lenu sijui walitengeneza wale watengeneza majiko na ndoo za chuma wa Kinondoni Manyanya.
 
hivi kumbe English ni tatizo kubwa kiasi hiki so Ile kauli ulishindwa kuelewa? inasikitisha sana
 
hivi kumbe English ni tatizo kubwa kiasi hiki so Ile kauli ulishindwa kuelewa? inasikitisha sana
Mbona ilikuwa directly hivi unakumbuka mlivyo ingia robo kwenye account ya Twitter CAF waliandika kitu gani.

Haya sasa CAF wenyewe April 5 na jana wakasisitiza. Sio fainali tu hata nusu hamjawahi kufika.

Nyie na lile bati leni ilikuwa CAF ya Lipumba na limetengenezwa hapo Kinondoni Manyanya kwa watengeneza majiko na ndoo za chuma.

NB:Ngoja nikurudishe shule inawezekana ulikuwa unatoroka kipindi cha Kingereza, haya maana ya First ever kutoka kwenye Dictionary ya Oxford.



Link hiyo hapo first-ever adjective - Definition, pictures, pronunciation and usage notes | Oxford Advanced Learner's Dictionary at OxfordLearnersDictionaries.com
 
Mwenye kombe kapewa medali za Gold, gold inashika namba 3 kwa madini ya thamani duniani. Uzito wa medali a Gold thamani yake ni $500 .

Medali za Silver hazipo hata top ten ya madini ya thamani duniani, medali ya Silver ni sawa $100.

Silver hata huku mtaani zipo tunanunua tunachonga sana kwa fundi mchundo.

Huo ndio utofauti wa Bingwa wa Kombe la Losers na wavaa medali za kariakoo.

Kingine hata Tulia Marathon wanatoa medali, NMB, Sijui Marathon gani za mtaa wanatoa medali.

Washika vibendera nao wanapewa medali za silver kama mshindi wa pili wa kombe la losers.

Waokota mipira nao wanapewa medali za silver nao.

Wapishi wanapewa medali za silver, mabaunsa wanapewa medali za silver.

Mbombongafu..! [emoji23][emoji3][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] USMA wamewavurugaa kabisa akili utopolooo, mda wote wanaanzisha nyuzi za kujipa ahueni Lol
Kufa ni kufa tu wamerudi na hiriziii
 
Maelezo yamekuwa mengi sana.
Tuonesheni picha mkiwa na Kombe

Wachezaji wenu wakiwa na. Kiatu cha Dhahabu, Kipa Bora
 
Sisi ni mashujaa kwanza hadi kwenye rank za CAF tushawapita isitoshe msimu huu hamjapata chochotee cha ukumbusho
Hebu let's hizo Rank za CAF, unadhani wanapitwa hovyoo.
 
Aliyedhalilisha wenzie ni yule aliyeroga uwanjan tena laivu kideoni. Maneno yatawatoka mengi ila ukweli ni kwamba imewauma sana hatua kubwa waliyoipiga Yanga
Na yule Alievamia gari la wageni kuiba, pamoja kupulizia sumu kwenye vyumba vya kulala wageni
 
Weka ushahidi wa video au picha na sio maneno ya kuambiwa na kusingiziwa. Ushahidi wa simba huu hapa
Na yule Alievamia gari la wageni kuiba, pamoja kupulizia sumu kwenye vyumba vya kulala wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…