Final mechi 2 ndo Iko poa Ili kama ukifungwa tujue umefungwa kweli sio Kwa bahati mbaya. Maana unapewa nafasi ya kurekebisha makosa kama ulikosea mechi ya kwanza
Waaoww sisi hata siku moja hatujawahi kujitapa kuhusu safari za kimataifa kama nyie,mlifikia hatua kusema ofisi za CAF ni sawa na sebuleni kwenu. Sasa safari zote zile na michuano yote ile bado hamkuweka rekodi mpya zaidi ya kulilia ya miaka 30 iliyopita