Tuweke ushabiki pembeni, ni "Mind game" ipi inahusisha kuwanga na moto ndani ya pitch?

Ndiyo hawa hawa walioingia na Paka msimu uliopita, walipocheza na FC Platinum ya Zimbabwe! Wameshazoea bila shaka.
 
Nchi haina dini na Inaamini imani zote.. kama Simba hatuna dini tunasali kwa imani zote...

Hutaki achana na Simba wa mwituni..
 
Wanawanga mchana alafu wanasema tuwaombee, Mi ni simba dam dam ila kwa hili mjirekebishe

View attachment 2200140
Nimefuatilia nimebaini walivaa hivyo wakati wa kupasha kabla ya mechi.
Sometimes hiyo inaweza tu ikawa mikwala tu kama ya Michael Maingwa na Nzige Mtondoo mimi [emoji1241]⁩ nawaelewa vzr hawa jamaa.[emoji626]
 
Simba wanaweza kujikuta Wana pigwa rungu na CAF Kwa mambo ya kipuuzi.
 
Hiyo ni mimd game tu hakuna kiashiria chochote cha ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…