Tuweke Ushabiki Pembeni Simba Mnaionaje timu Yenu?

Kwahiyo hamkutaka kushinda siku ile???
 
Kwani Yanga ni adui yenu au mtani wenu..Kumbe mna mentally za uadui dhidi ya Yanga?[emoji23][emoji22]
 
Mwisho wa siku wakanyanyua makwapa[emoji471][emoji23]
 
Anastrugle kupta point 6?, wwe ni adui, af mbona anaongoza sasa ligi?
 
Duh, Bingwa atakuwa nani?
Kubali au kataa timu ambayo inaona inaonewa na TFF hijawahi kuwa bingwa, msimu uliopita udhamini wa GSM ulikua kilainishi kwa bodi ya ligi,Simba tukaona tunaonewa CEO akagombana na viongozi wa bodi ya ligi,Simba tukacheza Manungu na maji yamejaa uwanjani, ratiba ilikua mfululizo wakati tumamechi za kimataifa Yanga kuna mda ndani ya mwezi anacheza mechi moja tuu, mwisho wa msimu tukapoteza makombe yetu yote. Uki relax utaelewa ukishupaza shingo hautaelewa maana hata hizi mechi mbili yanga kuanzia ugenini wanahisi wameonewa.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ueleweki hoja yako ni ipi? Rudia ulichokiandika ukisome vizuri ndo ulete majibu inawezekana ata ulichokiandika ukijui
We ndio huelewi ,Yanga wanashida ya Ufungaji ukimtoa mayele hii ndio hoja kubwa,Mwamnyeto kufunga kama kunguru kumnyea binadamu kwani hauwezi kuwa na uhakika atakifanya icho msimu mzima kama uhakika utakaokua nao kwa Mayele

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuwe na viporo vilivyopigiwa kelele? Believe me this time around hakuna viporo tena.
Yanga ameanzia away na nyie mmeanzia home, unajua kwa nn?
Mna timu bovu kwenye matuta ya viazi mtapoteana sana na kuoanic na washabiki kuwatukana huku mpinzani wenu akitusua.

Anyway round 4 mnaenda mbeya, tutaona.
 
Shida ya ufungaji wapi, Saido kamaliza na goli 7+, Feisal 5+, Djuma, Moloko n.k nao wamefunga.

Tuje kwenu, kibu 8+, kagere 6+, sakho 6, striker bocco 1, mugalu 0
 
Mbeya sikuhizi hamna ugumu viwanja vimefungiwa kuna vitu hamfatilii viwanja vya mwaka huu bodi ya ligi wameweka standars vile vya ovyo vimefungiwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Shida ya ufungaji wapi, Saido kamaliza na goli 7+, Feisal 5+, Djuma, Moloko n.k nao wamefunga.

Tuje kwenu, kibu 8+, kagere 6+, sakho 6, striker bocco 1, mugalu 0
Tunazungumzia msimu huu ambapo Saidoo hayupo,Feisal amerudishwa shimon ili Azizi ki acheze namba 10 hii ni changamoto Simba tumeleta phiri magoli 14 msimu uliopita Zambia,Okrah magoli 14 kwenye ligi Ghana Kumbuka hawa wote washafunga kwwnye NBC ukiangalia kwa ukaribu Simba msimu itafunga magoli mengi sana itazidi hata ile ya 2020/2021....

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe jamaa alikuwepo.......ukweli mchungu huu
 
Wale wachunga kondoo wa US Dong walivyotoa tena kwa Mkapa walikuwa na timu gani ya kueleweka?
 
Vilaza mko wengi Sana. Ndiyo maana mnaitwa Utopolo, mazuzu.

Kuna magoli bila kufanya kazi? Kila timu imejipanga vilivyo.

Kwahiyo Simba inastruggle kupata point 6 na magoli 5,lkn Yanga hawastruggle Wana point 6 na goal difference Ni 3.Yaani Yanga wanafunga kirahisi tu.

Mnakosa Cha kuandika? Au vichwa vimejaa kamasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…