Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Msimu uliopita yanga imefunga magoli mangapi? Na mayele ndo alifunga goli zote peke yake eti? Hoja yako ni mfu, mayele msimu ulioisha kafunga goli 16, na yanga kama timu imefunga goli 40+ sasa unaposema inamtegemea mayele sijui unamaanisha kitu gani, mayele asipofunga wengine watafunga ndo maana ya team work, jukumu la kufunga ni kwa yeyote anaepata nafasi aijalishi anacheza namba ngapi ata kipa akipata nafasi azuiwi kufunga akuna dhambi juu ya hilo ilimradi atimize jukumu la klabu ambalo ni ushindi, Na akuna palipoandikwa kwamba mayele atakuwa anafunga kila siku,We ndio huelewi ,Yanga wanashida ya Ufungaji ukimtoa mayele hii ndio hoja kubwa,Mwamnyeto kufunga kama kunguru kumnyea binadamu kwani hauwezi kuwa na uhakika atakifanya icho msimu mzima kama uhakika utakaokua nao kwa Mayele
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app