Tuweke Ushabiki Pembeni Simba Mnaionaje timu Yenu?

Msimu uliopita yanga imefunga magoli mangapi? Na mayele ndo alifunga goli zote peke yake eti? Hoja yako ni mfu, mayele msimu ulioisha kafunga goli 16, na yanga kama timu imefunga goli 40+ sasa unaposema inamtegemea mayele sijui unamaanisha kitu gani, mayele asipofunga wengine watafunga ndo maana ya team work, jukumu la kufunga ni kwa yeyote anaepata nafasi aijalishi anacheza namba ngapi ata kipa akipata nafasi azuiwi kufunga akuna dhambi juu ya hilo ilimradi atimize jukumu la klabu ambalo ni ushindi, Na akuna palipoandikwa kwamba mayele atakuwa anafunga kila siku,
 
Goli difference ni 2 acha upunguani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…