Tuweke ushabiki pembeni, Simba sc wanakibarua kizito mbele ya Asec Mimosa

Jidanganye Hivyo Hivyo.

Asec Mimosas Watakuwa Na Utulivu Sana Itasaidia Kutokuwa Na Makosa Madogo Madogo.

Simba Sc Wataingia Na Pressure Hiyo Itasababisha Makosa Mengi Na Kuathibiwa
Asec mimosa alishafuzu tayali Kwa hiyo hatoipa uzito mechi yake na Simba. Acha kutisha watu
 
Tusizunguke Waambiwe Ukweli Kuwa Wanaenda Kupapaswa Vizuri Tu.
Kwa ushindi wa Ivory Coast Afcon umeamsha ari ya soka kinchi, bora hiyo mechi ingekuwa inachezwa hapa nyumbani.

Haitokuwa mechi rahisi.
 
Kwa mtu mwenye akili, hakuna uhusiano wa mechi hizo mbili. Ugumu wa mechi kwa Simba itakapoivaa ASEC hauondoi ugumu wa Yanga itakapoivaa Belouizdad, na vice-versa. Ni mechi mbili tofauti kwenye makundi mawili tofauti. Sijajua ni akili ya wapi inayotumika kuhusianisha ugumu wa Simba au Yanga dhidi ya wapinzani wao
 
Wewe ni miongoni mwa Wanasoka àmbao JF inatakiwa kujivunia tofauti na wengine waliojaliwa kuwa na smartphone na hela ya bando. Sababu uliyoweka hapa ni genuine Kwa mwenye jicho la Tatu. Na sababu nyingine ni kwamba Asec atataka kuithijitishia Afrika na Dunia kwamba Kombe la AFCON walilobeba Ivory coast si Kwa kubahatisha bali ni uwezo wao kama nchi. Mechi hiyo ni ngumu Sana Mkuu.
 
Halafu sisi Yanga tuna Kimeo chepesi
 
Ukitumia mechi za ligi kuasesi mechi za simba kimataifa utafeli. Kule jamaa huwa wanakuwa wengine kama wakiamua lakini.
 
Kiufupi kesho tumepigwa chache basi goli 3 ,hatuna timu ya kupambana kuifunga Asec kwake hata dro hatupati[emoji706].
 
Jidanganye Hivyo Hivyo.

Asec Mimosas Watakuwa Na Utulivu Sana Itasaidia Kutokuwa Na Makosa Madogo Madogo.

Simba Sc Wataingia Na Pressure Hiyo Itasababisha Makosa Mengi Na Kuathibiwa
Vipi yanga na CRB mzani unasemaje?
 
Hao vijana wenye kasi wanashindwa vipi kuwafunga wazee walio choka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…