Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Vp bado upo?Kiufupi kesho tumepigwa chache basi goli 3 ,hatuna timu ya kupambana kuifunga Asec kwake hata dro hatupati[emoji706].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp bado upo?Kiufupi kesho tumepigwa chache basi goli 3 ,hatuna timu ya kupambana kuifunga Asec kwake hata dro hatupati[emoji706].
Kwa hiyo wewe unafurahia drooNjoo na utetezi mpya maana kuendelea kujificha eti Kwa kuwa ulikosea unajimu wako ni kujikosesha uhuru jukwaani
kwanin asifrahi wakati amepata point moja ugenini mechi ijayo akishida moja kwa moja atakua amefuzuKwa hiyo wewe unafurahia droo
UNA UHAKIKA ATASHINDA MOJA KWA MOJA MOJAkwanin asifrahi wakati amepata point moja ugenini mechi ijayo akishida moja kwa moja atakua amefuzu
simba Robo anaenda acha kujitoa ufahamu mzee hesabu isha balanceUNA UHAKIKA ATASHINDA MOJA KWA MOJA MOJA
Manabii mjini wamekuwa wengiAsec Mimosas Watakuwa Na Utulivu Sana Itasaidia Kutokuwa Na Makosa Madogo Madogo.
Simba Sc Wataingia Na Pressure Hiyo Itasababisha Makosa Mengi Na Kuathibiwa
Hakuna uhakika, ila tutawatumia watakaowapokea Avic Kigamboni wawawekee kale ka mchuzi kwenye msosi waoUNA UHAKIKA ATASHINDA MOJA KWA MOJA MOJA
Mlipata Matokeo?Manabii mjini wamekuwa wengi