Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
ina sifa gani hii?Mjooro
MjohoroMjooro
duh uo mbn sio kabisaKupasua kuta
Hapo ilifaa kichwa kisomeke Hasara ya Kupanda miti Majumbani bila Kuzingatia Ukubwa wa Kiwanja na ushauri.Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k
Wajuzi tuwekeeni hapa majina ya miti mbalimbali inayofaa kuoteshwa ktk mazingira ya nyumbani
Unapotaka kupanda miti lazima uzingatie...Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k
Wajuzi tuwekeeni hapa majina ya miti mbalimbali inayofaa kuoteshwa ktk mazingira ya nyumbani
nimekupata mkuu ILA sikumaanisha ivoHapo ilifaa kichwa kisomeke Hasara ya Kupanda miti Majumbani bila Kuzingatia Ukubwa wa Kiwanja na ushauri.
Hasara hizo ni.
- Kuzuia mwanga
- Nyufa kwenye kuta
- Kuchafua uwanja kwa majani
- Kuzuia upepo
- Mazalio ya wadudu na ndege
Mkuu wenzako tutataja nini sasa πππππππ1. Mkunazi.
2. Muarubaini. 3. Mvumbasi=Holly Basil/Kashwagara/Kiitamarogo
4. Mfunguo/Mwetango
5. Msharifu/Wonder Leaves
6. Lemon Grass/Mchaichai
7. Mstafeli/Soarsoup
8. Mkomamanga
9. Mmbilimbi.
10. Mdimu/Mlimao
11. Mzaituni
12 Kadhalika
tawire kiongozi1. Mkunazi.
2. Muarubaini. 3. Mvumbasi=Holly Basil/Kashwagara/Kiitamarogo
4. Mfunguo/Mwetango
5. Msharifu/Wonder Leaves
6. Lemon Grass/Mchaichai
7. Mstafeli/Soarsoup
8. Mkomamanga
9. Mmbilimbi.
10. Mdimu/Mlimao
11. Mzaituni
12 Kadhalika
Kila mti uharibifu wa aina moja ama nyingine.nimekupata mkuu ILA sikumaanisha ivo
NATAKA kujua aina ya miti RAFIKI ya kupanda hom uwanjani bila kuleta uharibifu wa aina yoyote
Miti yote panda isipokuwa mpapai.Umeniudhi sana.Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k
Wajuzi tuwekeeni hapa majina ya miti mbalimbali inayofaa kuoteshwa ktk mazingira ya nyumbani
mpapai una shida gani mkuuMiti yote panda isipokuwa mpapai.Umeniudhi sana.
Mkuu,nimekupata mkuu ILA sikumaanisha ivo
NATAKA kujua aina ya miti RAFIKI ya kupanda hom uwanjani bila kuleta uharibifu wa aina yoyote
Mpapai panda shambani kwako porini sio nyumbani.Mizizi yake inanawizi kuliko kigogo chake.Kigogo ni kimoja lakini mizizi ni mingi sana na inatambaa kwenda mbali chini ya nyumba.Mizizi ina nguvu ya kutambaa na kusukuma mpaka mawe makubwa ya makaro.mpapai una shida gani mkuu