Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walahMpapai panda shambani kwako porini sio nyumbani.Mizizi yake inanawizi kuliko kigogo chake.Kigogo ni kimoja lakini mizizi ni mingi sana na inatambaa kwenda mbali chini ya nyumba.Mizizi ina nguvu ya kutambaa na kusukuma mpaka mawe makubwa ya makaro.
Siku ukiukata ndio balaa zaidi.Kama hukuung'oa haraka na ukawacha uoze basi maji maji yake ni kama acid yanachimba shimo ambalo wewe mwenyewe ukitumbukia unazama wote.
Achana na mpapai kama mti wa bustani,Ufanye ni mti wa matunda ya kibiashara upande porini tu.
asante kiongoziMkuu,
Hapo wengi watajikita kutaja ambayo ikiwa karibu na nyumba inaleta nyufa...lakini watasahau uharibifu wa
Ndiyo mana nkasema lazima uwe na key points takribani unazozilenga....
- Mazalia ya wadudu/ Mbu/Nyuki.
- Chanzo cha miizio/ allergic reaction.
- Husababisha ukungu kwenye ukuta.
- n.k
Ila ukisema hakuna madhara kabisa, itakuwa ni uongo.
Duu kumbe Mpapai ni shida, ninavyopenda Papai nilipanda Miche miwli kwenye kishamba changu bahati mbaya Mchwa waliishambulia ikafa, nilisikitika sana lakini kama hali yenyewe ndiyo hiyo bora ilivyokufa.[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi
[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi
haya mambo wengi hatuyajui na hata wauza miche wengi tu hawajui nao. wachache wanaojua hawawezi kukwambia kwa kuogopa kupoteza biasharaDuu kumbe Mpapai ni shida, ninavyopenda Papai nilipanda Miche miwli kwenye kishamba changu bahati mbaya Mchwa waliishambulia ikafa, nilisikitika sana lakini kama hali yenyewe ndiyo hiyo bora ilivyokufa.
ni sahihi nyumba iliyojaa mimea ya kijani ina utamu wakeNapenda nyumba yenye miti mingiii....
Ila sio miashok hii miti sijawahi kuipenda sijui jwanini
Kwa Dodoma napata wapi miche ya mkunazi?Mkuu wenzako tutataja nini sasa 😂😂😂😂🙏🙏🙏
Mkuu kwa sasa nimetoka dodomaKwa Dodoma napata wapi miche ya mkunazi?
Yani ni wa hovyo balaa mzizi wake unatambaa umbali mrefu n amkubwa kweli,kuuchimba uutoe wote ni kazi kwelikweli.Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah![]()
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi