Tuwekee hapa majina ya miti inayofaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani

Mkaratus inazunguka eneo la nyumba km WIGO hii ukienda Mbeya & Shinyanga vijijini wanafanya sana
 
[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi
 
asante kiongozi
 
[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi
Duu kumbe Mpapai ni shida, ninavyopenda Papai nilipanda Miche miwli kwenye kishamba changu bahati mbaya Mchwa waliishambulia ikafa, nilisikitika sana lakini kama hali yenyewe ndiyo hiyo bora ilivyokufa.
 
[emoji44]Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi

mpapai una tabia nyingine ya kutokuzaa kabisa ata uumwagilie au kuuwekea mbolea vipi.. inaitwa mipapai dume.. dalili yake ni utaona ikitoa maua mengi.

pia mpapai ukipata maji mengi hasa kipindi cha mvua na kama eneo lako ni linatuamisha sna maji ni rahisi kuoza na kuanguka wenyewe.
 
Duu kumbe Mpapai ni shida, ninavyopenda Papai nilipanda Miche miwli kwenye kishamba changu bahati mbaya Mchwa waliishambulia ikafa, nilisikitika sana lakini kama hali yenyewe ndiyo hiyo bora ilivyokufa.
haya mambo wengi hatuyajui na hata wauza miche wengi tu hawajui nao. wachache wanaojua hawawezi kukwambia kwa kuogopa kupoteza biashara
 
Napenda nyumba yenye miti mingiii....
Ila sio miashok hii miti sijawahi kuipenda sijui kwanini
 
Hee. kumbe mpapai wa ovyo ivo? sikujua walah
Ndokwanza nayasikia hapa.
Asante sana mkuu kwa izi nondo. nna hakika zitasaidia wengine wengi waliokuwa hawajui kama mimi
Yani ni wa hovyo balaa mzizi wake unatambaa umbali mrefu n amkubwa kweli,kuuchimba uutoe wote ni kazi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…