Tuwekee hapa majina ya pombe za asili unazozijua

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Hapa ni baadhi

1. Mbege

2. Dengerua

3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe kamba upande wa chini wa suruali ili kila kitu kiende sawa).

4. Komoni

5. Myakaya....

Endelea
 
mtukuru, komoni, kangara, wanzuki, chimpumu, mnazi, mbege, gongo
 
NI wakati sahihi sasa kuitangaza Mbege kuwa kinywaji/pombe ya taifa, hii ni kutokana na heshima kubwa iliyojijengea ndani na nje ya nchi, mheshimiwa spika,nawasilisha.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]mkuu ayo majina.

bado kidogo ungesema ipo inayoitwa chomoa nijambe[emoji38]
 
Pombe ya Dokta wa Forest Magholofani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…