Tuwekee hapa majina ya pombe za asili unazozijua

Tuwekee hapa majina ya pombe za asili unazozijua

Kwete,namba one(biharamlo) ,busele/matimba, lusuo(mvomero)
mapuya,machicha
 
Wengi wameoa wanyarwanda so pisi nyingi unakuta baba mTz mama mnyarwanda so hiyo mixer nadhani umenielewa.
duh[emoji39]uku sasa ndo kwa kutembelea sio unaskia mtu anasema anaenda vakeshen mikumi
 
Sekenke
Chakubanga
Rusha raha
Banana
Nikomoe
Wanzuki
Nakunya leo
Ulanzi
Ndungu
Trump mtata
Mchokonoe
Zediii
Shusha mikono
Nalenga
Namanyere
Chipapa
Kanyezi
Selengoma
Msinshindwe
Ulumi
Kalepula
Legezamwendo
Chibuku
Comoriye
Gongo
Nshukaa

Kwa leo zinatosha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chimpumu
 
Back
Top Bottom