YUSUPHU1994
New Member
- Aug 1, 2022
- 4
- 10
Tanzania nimiongoni mwa nchi ambazo zinapambana kujikwamua katika umaskini ili kuwa nauchumi wa juu barani africa,katika kufanikisha hayo nilazima kama nchi tuchague kuwekeza katika tafiti za kisayansi hapa kuna njia ya kweli yamafanikio.
Tanzania inatumia fedha nyingi sana katika sekta ya afya katika matumizi yafuatayo
1. Manunuzi ya madawa
2. Ujenzi wa miundombinu ya afya(hospital na vituo vya afya)
3. Ajira kwa wataalamu wa afya
4. Manunuzi ya vifaa tiba
Vitu vyote hivi nchi inatumia fedha nyingi sana ili kuhakikisha kua vinatekezwa kwa usahih ili wananchi wapatiwe huduma bora na zenye viwango vizuri nchini tanzania, licha yakuwa serikali inatumia fedha nyingi lakini wananchi wengi wanaathirika kwa namna mbali mbali juu ya changamoto za afya kama ifuatavyo:
1.kutumia muda mwingi katika vituo vya afya kutafuta huduma bora za matibabu.
2.kutumia fedha nyingi katika kugharamia matibabu
3.kukosa muda wakutosha wakujishughulisha na shughuli zao zakila siku.
Je, ni tafiti zipi za kisayansi ambazo kama tutazifanyia uwekezaji zitaleta matokeo chanya katika jamii.
1. Uvumbuzi wa chanjo mbali mbali zakujikinga namagonjwa,
Ili kuiweka jamii salama namagonjwa lazima tuwe nawataalamu ambao watatusaidia katika uvumbuzi wa chanjo ambazo zitasaidia jamii yetu kujikinga ili isipate magonjwa nakubaki kuwa salama muda wote, hili litaqafanya wananchi kutumia muda mwingi katika shughuli za kiuchumi.
2. Njia sahihi zakupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, kupitia uwekezaji katika tafiti za kisansi itatupa muongozo sahihi wa namna bora yakupambana na changamoto zakimazingira badla yakusubiri madhara makubwa yatokee ili tuweze kutibu tatizo kitu ambacho kitaleta athari kubwa katika kizazi chetu.
3. Kujua namna sahihi yakujinga namaginjwa, kama tutawekeza katika utafiti tutajua namna mbali mbali zakujinga namonjwa ili kufanya jamii kuishi vizuri bila kupata mginjwa ambayo yatawafanya kutafuta huduma za matibabu
4. Utafiti wa magonjwa mbali mbali yanayoikumba jamii juu ya chanzo chake, matibabu yake,madhara yake
5. Namna sahihi yakupambana na magonjwa ya milipuko katika jamii
Je, ni namna gani tafiti za kisayansi zitaikwamua Tanzania kiuchumi?
Uwekezaji katika tafiti za kisansi kutaisaidia tanzania na wananchi wake kwa ujumla katika mambo yafuatayo:
1. Kuinua uchumi wa wawananchi.
Badala ya wananchi kutumia fedha nyingi katika kugharamia matibabu ya magonjwa mbalimbali sasa wataokoa kiasi kingi chapesa ambacho kitawasiadia katika kuinua uchumi wao
2. Kuokoa muda wa wananchi katika kutafuta huduma za matibabu.
Kwakua tutakua tumeiepusha na tumeikinga jamii na maginjwa sasa wananchi watakua namuda wakutosha wakufanya shughuli zao za maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kutafuta huduma za afya
3. Kukuza uchumi wa nchi.
Nchi itapata fedha nyingi kupitia kodi mbali mbali ambazo zitatokana na shughuli za wananchi wake ambazo zitawaingizia kipata ambacho wasingeweza kupata kama wangekua wagonjwa.
4. Serikali itaokoa fedha nyingi za uendeshaji wa sekta ya afya.kama tulivyoona namna serikali inavyotumia fedha nyingi katika kuajiri na kununua madawa na vifaa tiba.
5. Nchi itaelekeza fedha katika miradi ya maendeleo ambayo itasaidia katika kuongeza pato la taifa.
6. Nchi itapunguza uagiziaji wa bidhaa nyingi za afya kutoka nje ya nchi kitu ambacho kinaongeza pato la taifa
Imeandaliwa na Yusuphu hamimu
Kutokea lindi-kilwa

Upvote
2