Tuwekeze kwa wajasiriamali wadogo wanaojituma

Wewe sio benki. Kumbuka hilo.
Nadhani 'concept' utakuwa umeipata

Faida; hizi gharama utaziepuka:-
  • Kodi ya pango
  • Kulipa mshahara
  • Leseni
  • kodi ndogo ndogo kama ushuru n.k
Kinachofanyika; labda yeye soko lake linahitaji 100units, ila uwezo wake ni 20units; kwa hiyo eqn x atampatia hizo 80units zilizobaki huku wakigawana faida.
 
Faida kuu utakayopata kwenye hili wazo lako ni KUPOTEZA HIVYO VIJISENTI VYAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…