mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika
Boban na wengineo au ndo wako shule wanamezeshwa kuwa mvumbuzi wa ziwa Tanganyika ni Livingstone?
Bila shaka kwa wachache niliotaja DNA zitafanya yake lakin je tuna mpango mkakati endelevu kuwawezesha kukuza
vijana wadogo kama hawa?miaka 8,7,12 n.k