Tuwekeze kwenye Vijana katika soka

Tuwekeze kwenye Vijana katika soka

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika

Boban na wengineo au ndo wako shule wanamezeshwa kuwa mvumbuzi wa ziwa Tanganyika ni Livingstone?
Bila shaka kwa wachache niliotaja DNA zitafanya yake lakin je tuna mpango mkakati endelevu kuwawezesha kukuza

vijana wadogo kama hawa?miaka 8,7,12 n.k
FB_IMG_15698412818579793.jpeg
 
Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika

Boban na wengineo au ndo wako shule wanamezeshwa kuwa mvumbuzi wa ziwa Tanganyika ni Livingstone?
Bila shaka kwa wachache niliotaja DNA zitafanya yake lakin je tuna mpango mkakati endelevu kuwawezesha kukuza

vijana wadogo kama hawa?miaka 8,7,12 n.kView attachment 1219710
Uswahilini hatuwezi hayo, tutaiba saa ngapi hiyo hela ya kulelea hao? ?
 
Bongo unakuta mzazi analazimisha mtoto shule,bahati mabaya wanaopenda soka watoto wengi shule huwa haipandi sijui kama na hilo mmeliona.lakin unakuta mzazi yeye anapenda tu mwanae anagalau amalize form 4.
hahaa baada ya kufeli shule ndio huanza mpira tena la sodo na sandarusi kupotezea muda
 
Lengo langu ni kuwa mfano hao watoto wa akina Jerry Tegete saiz huenda wana zaidi ya miaka 10 lakin unakuta hawawaendelezi kisoka.Mfani msanii wa USA.Willy smith ameweza kukuza vipaji vya watoto wake tangia wakiwa wadogo akina Jaden,willow na mwingine yule.Hata huku bongo tungefanya hiyo kwenye soka huenda ingetusaidia
Uswahilini hatuwezi hayo, tutaiba saa ngapi hiyo hela ya kulelea hao? ?
 
Sio kila mtoto wa nyoka ni nyoka.

.........Bongo tumewekeza nguvu kubwa kwenye blah! blah!
 
Back
Top Bottom