Uswahilini hatuwezi hayo, tutaiba saa ngapi hiyo hela ya kulelea hao? ?Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika
Boban na wengineo au ndo wako shule wanamezeshwa kuwa mvumbuzi wa ziwa Tanganyika ni Livingstone?
Bila shaka kwa wachache niliotaja DNA zitafanya yake lakin je tuna mpango mkakati endelevu kuwawezesha kukuza
vijana wadogo kama hawa?miaka 8,7,12 n.kView attachment 1219710
hahaa baada ya kufeli shule ndio huanza mpira tena la sodo na sandarusi kupotezea mudahuku bongo wachezaji wanaanza mpira na miaka 18
hahaa baada ya kufeli shule ndio huanza mpira tena la sodo na sandarusi kupotezea muda
Uswahilini hatuwezi hayo, tutaiba saa ngapi hiyo hela ya kulelea hao? ?